Habari za Biashara
Viongozi wakuu wa nchi »
Na Joyce Mwakalinga, Dar Es Salaam. Marais wa Nchi tatu na Mawaziri wenye dhamana za usafirishaji [...]
Wakulima Mkoani Manyara »
Na Zacharia Mtigandi, Manyara. Wakulima wa zao la pamba mkoani manyara wamedai kuwa, dawa [...]
Habari Kitaifa
Mtwara waandanama kupinga bajeti ya nishati, madini.
Na Philip Lulale, Mtwara. Vurugu kali zilizoambatana na uchomaji wa nyumba na matairi barabarani zimezuka mkoani Mtwara mara baada bajeti ya wizara ya nishati na madini kusomwa bungeni. Katika vurugu hizi mtu mmoja alilipotiwa kupoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa na baadhi waandishi wa habari wamekutana na wakati mgumu [...]
Tanzania yakabiliwa na uhaba wa vyuo vikuu.
Na Josephine Shem Dar Es Salaam Makamu wa rais Dokta Mohamed Ghalib Bilali amesema Tanzania inakabiliwa na tatizo kubwa la uhaba wa vyuo vikuu vya elimu ya juu hivyo kushindwa kukidhi mahitaji ya wanafunzi wanaodahiliwa kujiunga na vyuo. Alisema kati ya wanafunzi elfu [...]
Prof. Muhongo akemea maandamano Mtwara, Lindi.
Na Mwandishi wetu, Dodoma. Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amelieleza bunge kuwa, maandamano na vurugu zinazoendelea katika Mikoani Lindi na Mtwara kutokana na gesi Asilia iliyogundulika hivi karibuni vitarudisha nyuma mipango ya serikali inayolenga kuleta maendeleo ya kiuchumi Nchini. Waziri [...]
Kissfm Live
»
// // // // [Read More]
Habari za Michezo
David Moyes Kocha »
Uongozi wa Old Trafford umetangaza rasmi na kuthibitisha kuwa David Moyes atakuwa meneja [...]
Sir Alex Ferguson »
Mabingwa wa Ligi Kuu nchini England, Manchester United wametangaza kwamba, Sir Alex [...]
Ujumbe wa Uingereza »
Na Ahmed Ally, Dar Es Salaam. Ujumbe kutoka England uliopo nchini kukagua miundo mbinu [...]
Habari za Kimataifa
Wapiganaji wa Boko Haram wakamatwa »
Takriban wapiganaji 120 wamekamatwa katika mji wa Maiduguri, eneo la Kaskazini Mashariki mwa Nigeria wakati walipokuwa wanaandaa mazishi ya kamanda wao. Hii ni kwa mujibu wa msemaji wa jeshi. Jeshi pia limeteka maeneo matano kutoka kwa wapiganaji hao. Hata hivyo [Read More]
More Habari za Kimataifa Headlines
- Mapigano yaendelea kwa siku ya...
- Maafisa wa usalama wa Misri...
- Waasi waondoka katika makao ya...
- Boko Haram wawateka watoto na...
- Askari wa Umoja wa Mataifa auawa...
- DRC eneo baya zaidi kwa mama kulea...
- David Cameron: “Somalia...
- Wasingizia umaskini kuwatumikisha...
- Hosni Mubarak arejeshwa jela Misri.
- Mzozo kuhusu makampuni ya Mandela








